CHAPA YA MNYAMA (666)
RFID
“Anataka kila mmoja – mkubwa na mdogo, tajiri na maskini, mtumwa na aliyehuru- wapewe chapa kwenye mkono wa kulia au katika paji la uso. Hakuna atakaye nunua au kuuza chochote pasipokuwa na chapa, ambayo ni jina la mnyama au ile namba inayowakilisha jina lake. Inahitaji hekima kufahamu mambo haya. Yeye aliye na ufahamu na aihesabu namba ya mnyama huyo, kwa kuwa ni namba ya kibinadamu. Namba yake ni 666” (Ufunuo 13:16 – 18 Tafsiri Mpya ya Uzima/ New Living Translation).
666 NI MFUMO WA SERIKALI MOJA YA DUNIA
Wakati huu wa sasa mifumo ya utambulisho wa kibaiolojia wa kompyuta inagunduliwa na kuendelezwa kwa kasi na imekuwa ikipokelewa vizuri katika jamii yetu. Vijikadi vya kompyupa, vinavyotumia tekinolojia ya Utambulisho wa Mawimbi ya Redio UMR (Radio Frequency Identification [RFID]) vimeanza kuambatanishwa na vifaa vya umeme, bidhaa za rejareja, mifugo na wanadamu. Hii sio hadithi ya sayansi ya kesho - haya yanatokea leo.
Katika sehemu nyingi za dunia, utumizi wa vijikadi vidogo vya digitali vinavyopandikizwa kwa wanadamu (Applied Digital Corporation’s Human Implied Mirochip [Verichip]) na kutumia Utambulisho wa Mawimbi ya Redio (UMR) unatumiwa kupima ugonjwa wa ubongo [Alzhemer’s desease], maradhi ya akili, kisukari, matatizo ya moyo na pia utumiwa kuzuia utekaji. Muda mfupi ujao aina hii ya kijikadi cha kibaiolojia itakubaliwa na kupandikizwa kwaajili ya utambulisho binafsi, ulinzi, uongozi, ufuatiliaji, biashara na matumizi mengine yasiyoweza kudhaniwa bado.
Bahati mbaya, hivi vikadi-baiolojia vinatunza utambulisho binafsi na taarifa zinazotokana na utumiaji wake zinahifaziwa na kutumika katika hifadhi ya taarifa ya kompyuta (computer database). Mwili wako unakuwa mali iliyobandikwa kibandiko unaoongozwa na ambao tabia zake zinaweza kufuatiliwa. Kupandikiza kijikadi kwenye mwili kunamtibua mtu kimwili, kiakili na hatimaye kiroho. Tatizo linaloibuka kutokana na matumizi ya kijikadi-baiolojia kwa mwanadamu ni zaidi ya maswala ya urembo (aesthetic), matibabu, siasa na maswala ya kisheria.
Shetani anafanya kazi katika ulimwengu na anawafanya watu na jamii watimize malengo yake. Kwa kujua au kwa kutokujua mpinga Kristo atawalazimisha watu kufuata na kutii ajenda itakayo onekana kuwa na maslahi ya watu wakee lakini kwakufuata mwenendo wa historia ya uasi wa mwanadamu kwa Mungu ambao utaleta maumivu\uchungu na mateso mpaka kristo aje tena.
“...naye (wakala wa shetani) akawakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwaishara zilizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi. Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, nakuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauwawe.’’ (Ufunuo 13:14-15)
Wakati unakuja ambao jamii na maisha vitatawaliwa na mfumo unaojipitisha wenyewe ambapo maisha ya wanadamu yataongozwa, kutathiminiwa, kupimwa na kutolewa tathimini na kompyuta. Katika nyakati hizo yeyote atakayekataa kuukubali mfumo huu atateswa na hatimaye kuuliwa.
KUUNDWA KWA JAMII YA KILA MAHALI {UBIQUITOUS SOCIETY}
Tunaelekea katika jamii ya mahali pote ambayo watu kutoka mienendo yote ya maisha wanaweza kupata chochote, popote na wakati wowote bila kujali muda na mahali. Utekelezaji wa tekinolohia ya UMR (RFID) katika maduka ya rejareja ni mfano mmojawapo.
Kinachosukuma maendeleo haya ni ile imani kwamba tutaishi salama zaidi, kwa urahisi zaidi, kwa utajiri zaidi na kwa kuyafurahia maisha zaidi kwa kutumia tekinolojia kumudu mambo katika maisha ya kila siku. Katika jamii inayotamani sana utawala automatiki wa fedha (Automated Finaical Management), mawasiliano na ulinzi wa papo kwa hapo, sio mbali kwa vijikadi au vipunje vya UMR (RFID) kuanza kupandikizwa katika mwili, na hatimaye kuchukua nafasi ya pesa (noti na sarafu) ambazo ni rahisi kuibiwa, kupotea au kufichwa. Wakati mfupi ujao:
1. Watu wote watatakiwa wawe na kijipunje cha kibaiolojia. Operesheni zote za kiuchumi zitatumia punje hii na kuondoa kizio cha leo cha mabadilishano ya kifedha (yani pesa – Noti na Sarafu).
2. Kutakuwa na uvamizi wa nyaraka za siri (siri binafsi) na uhuru utatoweka.
3. Kiongozi mwenye mvuto mkubwa, ambaye ndiye Mpinga – Kristo, atatawala ulimwengu/dunia yote kupitia mfumo uliounganishwa na unaojitegemea.
CHAPA YA MNYAMA KATIKA MWILI WA BINADAMU, NI LAZIMA TUSIPOKEE (UFUNUO 14:9; 14:11; 16:2)
1. Kuikubali chapa hii ni kitendo kisichogeuzika nyuma cha kuiuza roho yako kwa shetani. Dhambi hii haisameheki na haiwezi kurudishwa nyuma kwa kuinyofoa chapa mwilini (Ufunuo 14:9 – 11). Roho yako ni mali ya Mungu. Kwa hiyo kama utaipokea hii chapa, ndipo utakapokuwa wa Shetani.
2. Kama utaipokea hii chapa, kwa hiari yako mwenyewe utakua umeweka imani yako kwa mwanadamu na sio kwa Mungu. Yani kwa umakini unachagua kuishi pasipo Mungu wa Upendo ambaye anatamani aishi milele na wewe mbinguni. Mungu hataki uchague njia ya Kuzimuni. Mungu aliyajua mambo haya kabla, na kwa kuwa anatupenda na anataka tujue hilo, ilidhihirishwa kwetu kupitia andiko la mtume Yohana katika Ufunuo mnamo miaka 100 baada ya Kristo. Kama hautatwaliwa katika unyakuo kwenda Mbinguni, ukaachwa nyuma kwa ajili ya dhiki kuu, ni lazima usiipokee chapa ya mnyama hata kama utateswa na kuuawa kwa kutovikubali vitendo vya shetani na serikali. Ni lazima ulikumbuke hili wakati wote kwa sababu tumainini la mbinguni bado litakuwepo hata ule mwisho ufike.
JE, UMEMKUBALI YESU KAMA MWOKOZI WAKO BINAFSI?
Kwa kuwa wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu (Warumi 3:23).
Fedha/Pesa sio kila kitu. Mtu hawezi kuja kwa Mungu kwa kuamini miungu mingine yoyote, miiko yoyote, nidhamu yoyote, au kwa matendo mema. Ni uhusiano binafsi na Yesu tu unaoweza kufanikisha kusimama kwa haki mbele ya Mungu Mtakatifu katika mwisho wa historia ya mwanadamu. Ni kwa sababu hii Yesu Kristo aliteseka msalabani, akamwaga damu yake, akafa, na kurudi hai tena. Haya yalifanyika ili kuonyesha utayari na dhamira ya Mungu, uweza wake, na utukufu katika kutuokoa sisi na dhambi na mauti.
Mimi ndimi njia kweli na uzima. Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. (Yohana 14:6)
Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu, (Warumi 10:9 – 10). Ni lazima umwamini Yesu na kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi zako. Yesu anakupenda.
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwana wake wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele (Yohana 3:16).
Tambua ya kwamba wewe ni mwenye dhambi na uombe kwa imani. Unahitaji kumpokea Yesu kama Mwokozi wako binafsi. Hakika mbingu ziko na kuzimu kupo. Yesu Kristo ndiye njia pekee ya kwenda mbinguni.
YESU ANAKUJA MAPEMA, JIANDAE KWA UNYAKUO
Yesu aliyetukomboa kupitia msalaba ataandaa mahali na kurudi tena kuwa nasi. Yeye ametuahidi. (Yohana 14:3). Unyakuo utatokea kabla ya dhiki kuu (Ufunuo 3:10). Yesu alisema, “Mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za nyakati hizi hamwezi kuzitambua, (Mathayo 16:3, Luka 12:56).
WAPENDWA WATAKATIFU WOTE KATIKA YESU KRISTO
Unyakuo umewekwa kwa ajili ya wale watakatifu watakaotwaliwa angani parapanda ya Mungu itakapolia, watakatifu watakaonyakuliwa watainuliwa juu angani kukutana na Yesu mawinguni (1Watethalonike 4:16 – 17). Unyakuo umetengwa kwa ajili ya wale waamini waliovaa mavazi meupe ya roho. Miili yao itabadilishwa na kuwa miili ya utukufu na itakuwa furaha ya Mungu, (Ufunuo 19:7 – 8). Kama utabakia kwenye imani vuguvugu, Yesu atakutapika nje kwa hiyo usiwe aina hii ya waamini (Ufunuo 3:16). Kuja kwa Yesu mara ya kwanza ilikuwa ni ili kuleta wokovu, lakini anakuja tena kukutana na wale walio tayari wanamsubiri, katika mawingu parapanda/tarumbeta itakapolia, na huu ndio unaoitwa unyakuo. Bwana Yesu, atawachukua watoto wake pamoja naye kwenda mbinguni kwa miaka saba. Baada ya miaka saba ya dhiki kuu duniani ndipo atakaporudi tena duniani pamoja na wale walionyakuliwa naye kwenda mbinguni kuja kwenye Yerusalemu Mpya, na huu utaitwa ujio wake wa pili. Maana tumaini letu, au furaha yetu, au taji ya kujionea fahari, ni nini? Je! Si ninyi? (1Wathesalonike 2;19).
Katika kurudi kwa Yesu, wale watakatifu watakaonyakuliwa tu watawasilishwa katika kiti cha utukufu (1Wakorinto 15:49 – 55). Hata kama hatujui siku wala saa ya kuja kwake, wana wa nuru hawako gizani kwa hiyo siku ile haitawajia ninyi kama mwivi (Wathesalonike 5:4 – 5). Msiwe waamini vuguvugu wala msilale ila muwe macho na muombe. (Wathesalonike 5: 1 – 4). Kwa hiyo kumbuka yale uliyoyapokea na kuyasikia: uyatii, na kutubu. Lakini kama hukeshi, nitakujia kama mwizi, nawe hautajua ni wakati gani nitakapokujilia, (Ufunuo 3:3). Wale wenye imani vuguvugu, wale waliofungwa/waliobanwa na ulimwengu, na wale wasiomjua Yesu wataachwa kwa ajili ya dhiki kuu. Dhiki kuu itakuwa ni wakati mbaya zaidi katika historia ya mwanadamu. Wale watakaoachwa nyuma baada ya unyakuo katika dhiki kuu ni lazima wasipokee kijikadi au kipunje cha kibaiolojia (kinachobeba jina la shetani) katika miili yao (katika vipaji vya uso au mkono wa kulia; Ufunuo 13:16, 20:4) hata ikibidi kufa. Wakristo watakaojiua wataishia kuzimuni milele. Kwa kuikataa hii punje au kijikadi, utateswa na baadae kuuliwa lakini kama utakuwa mwaminifu, utaweza kuingia mbinguni. Kwa wale wasioamini (wasioWakristo) hautakiwi kuikataa tu hii punje/kijikadi, bali unatakiwa kuikataa na kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi kwa mdomo wako, uombe msamaha wa dhambi zako na kuamini moyoni mwako kwamba ni Mwana wa Mungu na ya kwamba alikufa kwaajili yetu, Amina.

출처 : 천국은 확실히 있다
글쓴이 : goldface 원글보기
메모 :
'베리칩·1 > 베리 칩' 카테고리의 다른 글
[스크랩] 9.28긴급메시지(짐승의표666)-벤다어 (짐바브웨 로디지아, 남아프리카) (0) | 2015.12.17 |
---|---|
[스크랩] 9.28긴급메시지(짐승의표666)-이탈리아어 (0) | 2015.12.17 |
[스크랩] 9.28긴급메시지(짐승의표666)-줄루어(남아프리카) (0) | 2015.12.17 |
[스크랩] 9.28긴급메시지(짐승의표666)-인도 힌두어 (0) | 2015.12.17 |
[스크랩] 9.28긴급메시지(짐승의표666)-프랑스어 (0) | 2015.12.17 |